UbugumaBwemisoreYekifuliru

Ubuguma • Bwemisore •Ya Abafuliru

About

UBUGUMA BWEMISORE YEKIFULIIRU U.S.A

Sheria

Wanachama wote kwa ujumla: Ni wanachama wa kawaida wote kwa ujumla wanao toa michango
na kuhusika na shughuli za ndani na nje ya ubuguma bwe’misore yekifuliru U.S.A ila ambao sio
viongozi.
II. WANACHAMA WAPYA
Tunapopata wanachama wapya ambao wanataka kujiunga katika umoja wetu wa Ubuguma
bwe’misore yekifuliiru Marekani, vigezo vifuatavyo lazima vizingatiwe.
Kamati ya uongozi itapewa taarifa na mawasiliano ya ndugu anae taka kujiunga na umojawetu,
msemaji wetu mkuu atawasiliana na ndugu huyo na kumsikiliza na kumpa taarifa, kanuni na
misingi ya umoja wetu. Ndugu huyo ni lazima awe mkaaji wa hapa Marekani, awe Mufuliiru wa
baba na mama ao baba, na awe ametimiza umri usiozidi miaka kumi na minane(18) Msemamaji
wetu atakapomaliza kuongea nae, atawasilisha taarifa zake kwenye kamati kuu na kamati
ikiridhika, ndugu atatumiwa fomu ya usajili na kukaribishwa katika umoja wetu.
Mtu yeyote anaye omba kuwa mwanamemba ao kama tayari ni mwanamemba anaweza
akakataliwa uanamemba ao uanamemba wake unaweza kusitishwa iwapo itabainika ao
kuzibitishwa yakwamba ndugu huyo:

▪ Sio mkaaji wa Marekani
▪ Sio mufuliru wa asili ya baba na mama
▪ Sio mufuliru wa asili ya baba.

Mwanachama anapo amua ku left kundi bila sababu yeyote kwa mda wa miezi miwili bila
kutaarifu uongozi sababu ya kuondoka kwake, iwapo ataamua tena kurudi kwenye kundi
atatakiwa kutowa $100 ili aruhusiwe kurudi kwenye umoja wetu.
III. MICHANGO
Kama desturi na kawaida yetu kila mwanachama kiongozi ao asiyekuwa kiongozi alie
orodheshwa katika kitabu chetu cha uanachamana atakua anatoa mchango usiozidi $150 kwa
mwaka. Mchango huo utatolewa kwa kupelekwa kwa mlinda hazina wetu ao unaweza kuwa
deposited katika account ya ubuguma bwemisore yekifuliiru itakapo imarishwa.

Nilazima kila mwanachama awe anatoa mchango wake wa kila mwaka kwa uendelezi wa
ubuguma. Na ikumbukwe ya kwamba mchango huu ndio unao kuimarisha wewe kuwa
mwanachama. Mchango huu utakua ukipokelewa kuanzia mwezi wa kwanza hadi wa tisa,
ianahitajika kufika mwezi wat isa kila mwanamemba ameisha wakilisha mchango wake wa mwaka.
Unapotoa mchango wako fahamu ya kwamba hauwezi ukarudishwa kwa sababu yoyote ile. Tofauti
na michango yetu hii ya mwezi vile vile tunayo michango ya dharura ambayo itakua inajitokeza
iwapo mmoja kati ya wanamemba wetu anapatwa na dharura zifuatazo;

▪ Kilio (vilio) kila mwanamemba atachangia $100
▪ Graduation kila mwanamemba atachangia $25
▪ Kuowa ao kuolewa kila mwanamemba atachangia $50
▪ Mchango wa mkutano wa kila mwaka $100

Michango yote ile itakua inatolewa kwa niaba ya ubuguma bwe’misore yekifuliiru U.S.A. na
utumiaji mbaya wa michango ya kamati hatua kali itachukuliwa kwa atakae tumia vibaya mali ya
ubuguma ikifuatana na kusimamishwa katika shughuli zote za buguma na hata kufukuzwa.
V. FAIDA KWA WANACHAMA
Faida (misaada) nyingi na tofauti zitakua zikitolewa kwa wanachama wa buguma bwe’misore
ye kifuliru U.S.A kufuatana na hali itakayo jitokeza na kufuatana na katiba yetu inavyo sema.
Baadhi ya faida zitakazo tolewa ni pamoja na:

a. Kilio (vilio)
b. Magonjwa
c. Uzazi
d. Kuhitimu shule (graduation)
e. Kuowa na kuolewa
f. Tunapo pata wageni (vijana wapya wa kifuliru wanapo wasili hapa nchini Marekani).

Ili mwanachama anufaike na misaada hii kunavigezo ambavyo vinatakiwa kufuatwa.
a. Kilio (Vilio)
Kama tunavyo fahamu sote tuna aina tofauti za vilio; kilio cha mwanamemba kinapo tokea hapa
hapa Marekani; kilio kwa mwanamemba toka nyumbani Africa.

i. Kilio kwa mwanamemba kinapo tokea hapa hapa Marekani
tutakapo mpoteza mwanakamati (mke, mme, single) hapa kwetu Marekani kila mwanachama
atachangia $100. Pesa hizo zitasaidia katika mipango na maandalizi yote ya kilio; Kamati
itawasiliana na familia na wasimamizi wa msiba huo na kuwakilisha pesa hizo ili zisaidie katika
maandalizi ya msiba huo. Kilio kitakapo kwisha kamati itakutana na kujadili matumizi ya pesa
hizo ilivyo kwenda. Mwanamemmba atakapo mpoteza Mtoto wakujizalia, baba ao mama mzazi,
kila mwanamemba atatoa $50 zitakazo tumwa kwa mwanamemba na kumsaidia katika kipindi
hicho kigumu atakachokua anapitia.

ii. Kilio kutoka Africa na maeneo mengine.
kilio kwa mwanamemba ambacho kimetoka Africa na maeneo mengine kitakacho kua
kinashughulikiwa ni iwapo mwanachama atakua amepoteza ndugu wafuatao;
baba ao mama mzazi, mtoto wako wakujizalia, mme ao mke wako wa ndoa.
Hao ndio watu kilio chao kitashughulikiwa. Iwapo mwanachama atapoteza mmoja wao.
Kilio hicho kitakapo jitokeza kitashughulikiwa kama ifuatavyo; $25 zitatozwa kwa kila
mwanamemba na kupatia mwanachama aliye mpoteza ndugu kwa ajili ya maandalizi ya msiba.

Ili mwanamemba aliyefariki hapa Marekani aidha kufiwa na mtu hapa Marekani aidha kutoka
nje ya Marekani anufahike na hayo yote yaliyotajwa hapo juu lazima vigezo vifuatavyo viwe
vimetimizwa na mwanamembahuyo aliye fariki ao kufiwa. Vigezo hivyo ni kama vifuatavyo:

History

UBUGUMA BWEMISORE YEKIFULIIRU U.S.A

Viongozi

Matangazo

Videos za Kundi

Picha

Sherehe / Arusi

Save The Date SATURDAY-JUNE 13,2026

Wedding Invite

Wanaofunga ndoa: MG LAMBRET & GEORGETTE

Tarehe: SATURDAY-JUNE 13,2026

Mahali: 1165 CENTRE PKWY LEXINGTON, KY 40517 UNITED STATES

BONHEUR & RITA

Save The Date JUNE 28, 2026

Wedding Invite

Wanaofunga ndoa: BONHEUR & RITA

Tarehe: JUNE 28, 2026

Mahali: SAN DIEGO, CALIFORNIA

FAIZI & FURAHA

Save The Date SATURDAY, JUNE, 20TH, 2026

Wedding Invite

Wanaofunga ndoa: FAIZI & FURAHA

Tarehe: SATURDAY, JUNE, 20TH, 2026

Mahali: CHURCH:SYMPHONY CIR BUFFALO NY 14201, RECEPTION:3165 BAILEY AVE. BUFFALO, NY 14215.AT 3:30PM.

JUMA ABEDI & PRISCA MUTULIVU

Save The Date AUG 01, 2026

Wedding Invite

Wanaofunga ndoa: JUMA ABEDI & PRISCA MUTULIVU

Tarehe: AUG 01, 2026,

Mahali: 7420 SW 9TH STREET DES MOINES, IA 50315, 1250 NE 56TH ST PLEASANT HILL, IA 50327 UNITED STATES

Members

MUSA RUVUBIKA

member

×

MUSA RUVUBIKA

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo: Bashimbi

Location: VA

Phone: 7174069421

About:
N/A

History ya maisha:
N/A

Picha zake

Adeline Juma

×

Adeline Juma

Cheo:

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Adolphine Maombi

member

×

Adolphine Maombi

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Agnes Bagaluha

member

×

Agnes Bagaluha

Cheo: member

Kabila:

Ukoo: Bashimbi

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Alex

member

×

Alex

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Alexis T Mafuta

member

×

Alexis T Mafuta

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Aline Apolina

member

×

Aline Apolina

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Aline Apoline

member

×

Aline Apoline

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Amos Gentil

member

×

Amos Gentil

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Beteli Musafiri

member

×

Beteli Musafiri

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Bienvenu Marko

member

×

Bienvenu Marko

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Bonheur Muhuzi

member

×

Bonheur Muhuzi

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Busare Reke

member

×

Busare Reke

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Chance Bukuru

member

×

Chance Bukuru

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Chris Mapenzi

member

×

Chris Mapenzi

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Daniel Shambale

member

×

Daniel Shambale

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Dieu-Fidele Basimise Munano

member

×

Dieu-Fidele Basimise Munano

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Dina Kasigwa

member

×

Dina Kasigwa

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Emmanuel Fataki

member

×

Emmanuel Fataki

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Fazili Rajabu

member

×

Fazili Rajabu

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Fidele Bakita

member

×

Fidele Bakita

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

François B. Kulolwa

member

×

François B. Kulolwa

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Freddy Rusimbana

member

×

Freddy Rusimbana

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Georgette Shimambo

member

×

Georgette Shimambo

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Gloria Queen

member

×

Gloria Queen

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Gretta Kubembeleza

member

×

Gretta Kubembeleza

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Imani Malgha Baraka

member

×

Imani Malgha Baraka

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Ismail Makonero Bayuku

member

×

Ismail Makonero Bayuku

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Jacques Bulimbi

member

×

Jacques Bulimbi

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Jeanne Kabemba

member

×

Jeanne Kabemba

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Jules Bakita

member

×

Jules Bakita

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Julita Rajabu

member

×

Julita Rajabu

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Lily Mbambane

member

×

Lily Mbambane

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Mathayo Reke (Matthias)

member

×

Mathayo Reke (Matthias)

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Merci Matiabu David

member

×

Merci Matiabu David

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Moise Paulo

member

×

Moise Paulo

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Mwavita Rajabu

member

×

Mwavita Rajabu

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Nabunyere

member

×

Nabunyere

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Roda Kituza Lazaro

member

×

Roda Kituza Lazaro

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Roger Kongwa

member

×

Roger Kongwa

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Sara Rajabu

member

×

Sara Rajabu

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Shebyage Mushalizi Sandowa (Mr. Mkubwa The Mc)

member

×

Shebyage Mushalizi Sandowa (Mr. Mkubwa The Mc)

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Stefano Z Ruvubika

member

×

Stefano Z Ruvubika

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo: Bashimbi

Location: VA

Phone: 571-552-7645

About:
N/A

History ya maisha:
N/A

Picha zake

Joyce Ruvubika

member

×

Joyce Ruvubika

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo: Bashimbi

Location: VA

Phone:

About:
N/A

History ya maisha:
N/A

Picha zake

Adela Ngandu

member

×

Adela Ngandu

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Shukrani Matabishi

member

×

Shukrani Matabishi

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Ujumbe Alex

member

×

Ujumbe Alex

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Zaina Shendera

member

×

Zaina Shendera

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Zena Mami

member

×

Zena Mami

Cheo: member

Kabila: Bafuliru

Ukoo:

Location:

Phone:

About:

History ya maisha:

Join Group / Jisajili Kujiunga

Malalamiko

Trico / T-Shirts

Ubuguma Bwemisore Yekifuliru T-shirt

Ubuguma Bwemisore Yekifuliru T-shirt

Price: 50

Sizes: L,M,S,SLX

Colors: White,Blue,Read,Yellow,

Buy Now

Michango / Donation

Alexis Matosha
Zelle.(Alexis Matosha)
5053066171
[email protected]
5621 Acoma road SE 15B

Changia Sasa

Subscribe

Leader Login

Leader Login

Leader Login