Meca Donation

MECA DONATION

Tunasaidia wanaohitaji msaada

Watoto yatima, wagonjwa wa majumbani na watu wenye ulemavu.

👶

Watoto Yatima

Chakula, mavazi, shule, makazi na matibabu.

🏥

Wagonjwa Majumbani

Huduma, dawa na msaada wa dharura.

Watu Wenye Ulemavu

Viti vya magurudumu, baiskeli maalumu na vifaa vya msaada.