Kilio Kutoka Mashariki ya DRC: “Uhai Wetu U Mikononi Mwetu”

Katika maeneo ya Djugu, Mahagi, Mambasa, Beni na Lubero, wananchi wanachinjwa bila msaada wowote—mbele ya serikali, MONUSCO, na hata jeshi la UPDF.

Raia wameanza kupoteza imani kwa vikosi vya kimataifa na vya kitaifa. Wito umetolewa kwa kila mmoja kujilinda: “Ukikaa kimya, utauliwa, na picha yako ndiyo itabaki ikisambazwa.”

Wazalendo wanahimiza: “La Patrie ou la Mort” – Nchi au Kifo.

mecamediaafrica.com