Kilimo kina faida! Ushahidi ni huu 🥜 Leo nimetoboa! Karanga 26/06/2025

🌱🙌 Leo nimevuna karanga zangu safi kabisa! Shukrani kwa juhudi, mvua nzuri na neema ya Mungu. 💪🥜

Kilimo kina faida! Ushahidi ni huu 👉🥜 Leo nimetoboa! Karanga zimefika salama ghalani. Wakati wa kuwekeza shambani ni sasa. 🌾

🌱🙌 Leo nimevuna karanga zangu safi kabisa! Shukrani kwa juhudi, mvua nzuri na neema ya Mungu. 💪🥜